![](/assets/artwork/1x1-42817eea7ade52607a760cbee00d1495.gif)
TanzMED - Healthcare for all 17+
Africa Healthtech Limited
Entwickelt für iPad
-
- Gratis
Screenshots
Beschreibung
TanzMED inakuletea huduma za Afya bora kwa kutumia teknolojia ya AI kwa lugha ya Kiswahili na English. Pakua app yetu leo na ufurahie huduma zifuatazo:
Nini unaweza kufanya ukiwa na TanzMED
-Video Call au Chat na Daktari Bingwa: Ongea moja kwa moja na madaktari bingwa kupitia video au chat.
-Makala za Afya: Pata elimu zaidi ya Afya kupitia makala zaidi ya makala 600 za afya zilizoandikwa na madaktari bingwa.
-Kufuatilia Hedhi: Jua siku za hatari, ushauri wa kupata ujauzito na hata msaada kutoka kwa Daktari bingwa wa magonjwa ya Wanawake.
-Afya ya Akili: Elimu na nyenzo za kuboresha afya yako ya akili kwa kushirikiana na Madaktari bingwa.
-Ufuatiliaji wa Ujauzito: Fuatilia maendeleo ya ujauzito, dalili hatari wakati wa ujauzito, mazingatio, ushauri na pata ukumbusho wa kliniki.
-AI Health Assessment: Jua maana ya dalili zako kiufaragha kutoka kwa daktari anayetumia akili mnemba.
-Afya ya Mtoto: Fuatilia afya ya mtoto, ukuaji, malezi na hata ushauri kutoka kwa wataalmu wa Afya.
-Weka Appointment: Panga miadi na madaktari bingwa kutoka hospitali makini kwa urahisi.
-Elimu ya Magonjwa Mbalimbali: Jifunze kuhusu UTI, Usonji, Saratani, Ujauzito, Mkanda wa Jeshi, VVU, Pumu, kisukari, Degedege, Surua, kaswende, kisonono (gono), TB, COVID, na mengine mengi.
-Ufahamu zaidi wa Afya: Pata taarifa za maana ya rangi za ute kwa wanawake, sababu za ujauzito kutoka, sababu za watoto kulia na jinsi ya kuwabembeleza, ratiba ya mlo kwa watoto, muda muafaka wa kushika ujauzito (mimba), na muda muafaka wa kufanya mapenzi baada ya kujifungua.
TanzMED inaboresha upatikanaji wa huduma bora za afya Afrika ya Mashariki na duniani kwa ujumla. Pakua TanzMED leo na upate huduma bora za afya kwa kubofya mara moja tu!
Vidokezo: Afya, AI, Madaktari Bingwa, Ujauzito, Hedhi, Afya ya Mtoto, Afya ya Akili, Chat na Daktari, TanzMED, Afya Bora, Telemedicine, Video Call na Daktari.
--------
We revolutionize healthcare accessibility in Tanzania and East Africa. Our vision is to provide high-quality, affordable, and personalized healthcare services to everyone, regardless of their location or socioeconomic status.
Our Services
-Telemedicine: Connect with healthcare providers from the comfort of your home.
- Mental Health Resources: Access support and counseling services.
- Maternal & Neonatal Care: Expert care throughout pregnancy and early childhood.
- Women's Health: Solutions for reproductive health, family planning, and menstrual cycle tracking.
-ePharmacy & eLab: Online access to medications and laboratory services.
- Pediatric Care: Monitoring and support for children's growth and development.
- HIV/AIDS Resources: Information and resources for prevention, testing, and treatment.
- Reproductive Health: Fertility tracking, family planning, and sexual health education.
-BMI & Weight Control: Tools for healthy weight management.
- Vaccines & Medication Reminders: Automated reminders for timely healthcare.
Our Approach
By leveraging AI and data analytics, we make healthcare more efficient, effective, and accessible. Our user-friendly platform is designed to meet the unique needs of our users, ensuring everyone from mothers to community health workers can easily access the care they need.
Important Notice for TanzMED Users
CAUTION: TanzMED cannot provide a medical diagnosis. In case of an emergency, please contact urgent care immediately. TanzMED does not replace professional medical advice or an appointment with your doctor.
We value your feedback. If you have any comments or questions, please get in touch with us at hello @tanzmed.africa.
Neuheiten
Version 1.1.0
**Added**
- Book Healthcare & Homecare Services
- Manage Orders
- Find Online Doctors
- Appointment Instructions
- Inquire with Health Facilities
- Menstrual opt out
- Copy & Paste for Articles
- Audio Version for Articles
- Ability to like articles
- View facility reviews
**Improved/Redesigned**
- Article & Comments Layout
- Health Facility home page
- Article Detail Pages
- Ushauri Page
- Backend Performance
**Fixed**
- Menstrual Page Loading Issue
App-Datenschutz
Der Entwickler, Africa Healthtech Limited, hat darauf hingewiesen, dass die Datenschutzrichtlinien der App den unten stehenden Umgang mit Daten einschließen können. Weitere Informationen findest du in den Datenschutzrichtlinien des Entwicklers.
Mit dir verknüpfte Daten
Die folgenden Daten werden möglicherweise erfasst und mit deiner Identität verknüpft:
- Gesundheit und Fitness
- Finanzinformationen
- Standort
- Kontaktinformationen
- Benutzerinhalte
- Vertrauliche Daten
Nicht mit dir verknüpfte Daten
Die folgenden Daten werden zwar möglicherweise erfasst, aber nicht mit deiner Identität verknüpft:
- Gekaufte Artikel
- Suchverlauf
- Kennungen
- Diagnose
Die Datenschutzpraktiken können zum Beispiel je nach den von dir verwendeten Funktionen oder deinem Alter variieren. Weitere Infos
Informationen
- Anbieter
- AFRICA HEALTHTECH LIMITED
- Größe
- 126.5 MB
- Kategorie
- Gesundheit und Fitness
- Kompatibilität
-
- iPhone
- Erfordert iOS 12.0 oder neuer.
- iPad
- Erfordert iPadOS 12.0 oder neuer.
- iPod touch
- Erfordert iOS 12.0 oder neuer.
- Mac
- Erfordert macOS 11.0 (oder neuer) und einen Mac mit Apple M1-Chip (oder neuer).
- Apple Vision
- Erfordert visionOS 1.0 oder neuer.
- Sprachen
-
Englisch
- Alter
- 17+ Selten/schwach ausgeprägt: Gebrauch von Alkohol, Tabak oder Drogen bzw. Verweise hierzu Selten/schwach ausgeprägt: medizinische/Behandlungs-Informationen
- Copyright
- © Africa Healthtech LTD
- Preis
- Gratis